UJUMBE WA NICOLAS HIERONIMUS
Mnamo 2022, tunayo furaha tena kuwapa nafasi nyingine ya kuimarisha uhusiano wenu na Kundi na mafanikio yetu ya fedha na yasiyo ya fedha ya baadaye. Mpango huu utawapa nafasi nyingine ya kujiunga katika jitihada zetu za kila siku za kuunda urembo wa mustakabali wetu bila kujali wajibu wako katika kampuni na kuamua muundo wa L’Oréal wa kesho kupitia mageuzi ya dijitali, teknolojia na mazingira.